Ayu. 19:28-29 Swahili Union Version (SUV)

28. Kama mkisema, Jinsi tutakavyomwudhi!Kwa kuwa shina la jambo hili limeonekana kwake;

29. Uogopeni upanga;Kwa maana adhabu za upanga zina ghadhabu,Mpate kujua ya kwamba hukumu iko.

Ayu. 19