Ayu. 16:8 Swahili Union Version (SUV)

Umenishika sana, ni ushahidi juu yangu;Na kukonda kwangu kwaniinukia, kwanishuhudia usoni pangu.

Ayu. 16

Ayu. 16:1-17