Ayu. 16:20-22 Swahili Union Version (SUV)

20. Rafiki zangu hunidharau;Lakini jicho langu humwagia Mungu machozi;

21. Laiti angemtolea mtu hoja mbele ya Mungu,Amtetee na mwanadamu mbele ya jirani yake.

22. Kwani ikiisha pita miaka michache,Nitakwenda njia hiyo ambayo sitarudi tena.

Ayu. 16