Ayu. 15:33-35 Swahili Union Version (SUV)

33. Atayapukutisha mapooza yake kama mzabibu,Na kuyatupa maua yake kama mzeituni.

34. Kwa kuwa jamii ya hao wasiomcha Mungu watakuwa tasa,Na moto utateketeza mahema yenye rushwa.

35. Wao hutunga mimba ya madhara, na kuzaa uovu,Nalo tumbo lao hutengeza udanganyifu.

Ayu. 15