Ayu. 13:14-17 Swahili Union Version (SUV)

14. Nitaitwaa nyama ya mwili wangu katika meno yangu,Na kuutwaa uhai wangu mkononi mwangu!

15. Tazama, ataniua; sina tumaini;Ila hata hivyo nitaithibitisha njia yangu mbele yake.

16. Hili nalo litakuwa ni wokovu wangu;Kwani asiyemcha Mungu hatakaribia mbele yake.

17. Sikieni sana maneno yangu,Maelezo yangu na yaingie masikioni mwenu.

Ayu. 13