Ayu. 10:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. Je! Siku zako ni kama siku za mtu,Au je! Miaka yako ni kama siku za mtu,

6. Hata ukauliza-uliza habari za uovu wangu,Na kuitafuta dhambi yangu,

7. Ujapojua ya kuwa mimi si mwovu;Wala hapana awezaye kuokoa na mkono wako?

Ayu. 10