Ayu. 10:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Nafsi yangu inachoka na maisha yangu;Sitajizuia na kuugua kwangu;Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.

2. Nitamwambia Mungu, Usinihukumie makosa;Nionyeshe sababu ya wewe kushindana nami.

Ayu. 10