Amu. 7:23 Swahili Union Version (SUV)

Wanaume wa Israeli walikuwa wamekusanyika kutoka Naftali, na kutoka Asheri, na kutoka Manase yote, wakawafuata Midiani.

Amu. 7

Amu. 7:16-25