Alichungulia dirishani, akalia,Mama yake Sisera alilia dirishani;Mbona gari lake linakawia kufika?Mbona gurudumu za gari lake zinakawia?