Ulaanini Merozi, alisema malaika wa BWANA,Walaanini kwa uchungu wenyeji wake;Kwa maana hawakuja kumsaidia BWANA,Kumsaidia BWANA juu ya hao wenye nguvu.