Amu. 17:12-13 Swahili Union Version (SUV)

12. Basi Mika akamweka wakfu huyo Mlawi, huyo hirimu, naye akawa kuhani wake, akakaa nyumbani mwa Mika.

13. Ndipo Mika akasema, Sasa najua ya kwamba BWANA atanitendea mema, kwa kuwa nina Mlawi kuwa kuhani wangu.

Amu. 17