Nao watu wa mji wakamwambia siku ya saba kabla ya jua kuchwa,Ni kitu gani kilicho tamu kuliko asali?Ni kitu gani kilicho na nguvu kuliko simba?Naye akawaambia,Kwamba hamkulima na mtamba wangu,Hamngekitambua kitendawili changu.