Amu. 11:20 Swahili Union Version (SUV)

Lakini huyo Sihoni hakuwaamini Israeli ili wapite ndani ya mpaka wake; bali Sihoni akawakutanisha watu wake wote, nao wakapanga kambi katika Yahasa, wakapigana na Israeli.

Amu. 11

Amu. 11:16-28