Amu. 10:9 Swahili Union Version (SUV)

Wana wa Amoni nao wakavuka Yordani ili wapigane na Yuda, na kupigana na Benyamini, na nyumba ya Efraimu; basi hivyo Israeli walikuwa wanasumbuliwa sana.

Amu. 10

Amu. 10:4-14