Amo. 9:8 Swahili Union Version (SUV)

Angalieni, macho ya Bwana MUNGU yanauangalia ufalme wenye dhambi, nami nitauangamiza utoke juu ya uso wa dunia; lakini sitaiangamiza kabisa nyumba ya Yakobo, asema BWANA.

Amo. 9

Amo. 9:1-15