Amo. 9:3 Swahili Union Version (SUV)

Nao wajapojificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma.

Amo. 9

Amo. 9:1-9