Amo. 6:11 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana, angalia, BWANA atoa amri, na nyumba kubwa itapigwa na kuwa na mahali palipobomolewa, na nyumba ndogo nayo itapigwa iwe na nyufa.

Amo. 6

Amo. 6:3-14