Amo. 5:22 Swahili Union Version (SUV)

Naam, ijapokuwa mnanitolea sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka zenu za unga, sitazikubali; wala sitaziangalia sadaka zenu za amani, na za wanyama walionona.

Amo. 5

Amo. 5:18-27