Amo. 3:1 Swahili Union Version (SUV)

Lisikieni neno hili alilolisema BWANA juu yenu, enyi wana wa Israeli, juu ya jamaa yote niliowapandisha kutoka nchi ya Misri, nikisema,

Amo. 3

Amo. 3:1-6