Amo. 2:11 Swahili Union Version (SUV)

Nami nikawainua watu miongoni mwa wana wenu wawe manabii, na katika vijana wenu wawe Wanadhiri; je! Sivyo hivyo, enyi wana wa Israeli? Asema BWANA.

Amo. 2

Amo. 2:2-16