Amo. 1:14-15 Swahili Union Version (SUV)

14. lakini nitawasha moto katika ukuta wa Raba, nao utayateketeza majumba yake; pamoja na kupiga kelele siku ya vita, pamoja na tufani katika siku ya chamchela;

15. na mfalme wao atakwenda utumwani, yeye na wakuu wake wote pamoja, asema BWANA.

Amo. 1