3 Yoh. 1:13-15 Swahili Union Version (SUV)

13. Nalikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu.

14. Lakini nataraji kukuona karibu, nasi tutasema uso kwa uso.

15. Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake.

3 Yoh. 1