2 Sam. 7:11 Swahili Union Version (SUV)

naam, kama vilivyokuwa tangu siku ile nilipowaamuru waamuzi, wawe juu ya watu wangu Israeli; nami nitakustarehesha mbele ya adui zako wote.Tena BWANA anakuambia ya kwamba BWANA atakujengea nyumba.

2 Sam. 7

2 Sam. 7:2-15