2 Sam. 23:36-39 Swahili Union Version (SUV)

36. na Igali, mwana wa Nathani, wa Soba, na Bani, Mgadi;

37. na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;

38. na Ira, Mwithri, na Garebu, Mwithri;

39. na Uria, Mhiti; jumla yao ilikuwa watu thelathini na saba.

2 Sam. 23