Mungu wa mwamba wangu, nitamwamini yeye;Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, mnara wangu, namakimbilio yangu;Mwokozi wangu, waniokoa na jeuri.