2 Sam. 20:25-26 Swahili Union Version (SUV) na Shausha mwandishi; na Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani. Tena na Ira, Myairi, alikuwa kuhani kwa Daudi.