Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake.Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa hawezi sana.