2 Pet. 2:8 Swahili Union Version (SUV)

maana mtu huyu mwenye haki akikaa kati yao, kwa kuona na kusikia, alijitesa roho yake yenye haki, siku baada ya siku, kwa matendo yao yasiyo na sheria;

2 Pet. 2

2 Pet. 2:5-15