2 Pet. 2:6 Swahili Union Version (SUV)

tena akaihukumu miji ya Sodoma na Gomora, akiipindua na kuifanya majivu, akaifanya iwe ishara kwa watu watakaokuwa hawamchi Mungu baada ya haya;

2 Pet. 2

2 Pet. 2:4-15