2 Nya. 9:11 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme akayafanya kwa miti hiyo ya msandali madari ya nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na vinubi na vinanda vya hao waimbaji; wala haijatokea kama hiyo katika nchi ya Yuda.

2 Nya. 9

2 Nya. 9:1-21