2 Nya. 8:9 Swahili Union Version (SUV)

Wala katika wana wa Israeli Sulemani hakuwafanya watumwa kazini mwake; lakini hao walikuwa watu wa vita, na wakuu wa majemadari wake, na maakida wa magari yake na wa wapanda farasi wake.

2 Nya. 8

2 Nya. 8:3-17