2 Nya. 8:16 Swahili Union Version (SUV)

Basi ikatengenezwa kazi yote ya Sulemani hata siku ya kutiwa msingi wa nyumba ya BWANA, na hata ilipokwisha. Hivyo ikamalizika nyumba ya BWANA.

2 Nya. 8

2 Nya. 8:13-18