2 Nya. 5:7 Swahili Union Version (SUV)

Makuhani wakaliingiza sanduku la agano la BWANA mahali pake katika chumba cha ndani cha nyumba, patakatifu pa patakatifu, yaani, chini ya mabawa ya makerubi.

2 Nya. 5

2 Nya. 5:1-14