Na Huramu akayafanya masufuria, na majembe, na mabakuli.Basi Huramu akamaliza kufanya hiyo kazi, aliyomfanyia mfalme Sulemani ya nyumba ya Mungu;