2 Nya. 36:18 Swahili Union Version (SUV)

Na vyombo vyote vya nyumba ya Mungu, vikubwa kwa vidogo, na hazina za nyumba ya BWANA, na hazina za mfalme, na za wakuu wake; vyote pia akavileta Babeli.

2 Nya. 36

2 Nya. 36:14-23