2 Nya. 31:5 Swahili Union Version (SUV)

Mara ilipotangaa amri, wana wa Israeli wakatoa kwa wingi malimbuko ya nafaka, na divai, na mafuta, na asali, na mazao yote ya mashamba; na zaka za vitu vyote wakazileta nyingi.

2 Nya. 31

2 Nya. 31:1-13