2 Nya. 31:14 Swahili Union Version (SUV)

Na Kore, mwana wa Imna, Mlawi, bawabu wa mlango wa mashariki, alizisimamia sadaka za hiari za Mungu; ili kugawa matoleo ya BWANA, navyo vitu vilivyokuwa vitakatifu sana.

2 Nya. 31

2 Nya. 31:11-16