2 Nya. 30:27 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo wakasimama makuhani Walawi, wakawabariki watu; ikasikiwa sauti yao, sala yao ikafika hata makao yake matakatifu, yaani, mbinguni.

2 Nya. 30

2 Nya. 30:20-27