2 Nya. 30:25 Swahili Union Version (SUV)

Na kusanyiko lote la Yuda, pamoja na makuhani na Walawi, na kusanyiko lote waliotoka Israeli, na wageni waliotoka katika nchi ya Israeli, nao waliokaa Yuda, wakafurahi.

2 Nya. 30

2 Nya. 30:24-26