2 Nya. 30:22 Swahili Union Version (SUV)

Hezekia akawafurahisha mioyo Walawi wote waliokuwa wastadi wa kumtumikia BWANA. Basi muda wa siku saba wakala sikukuu, wakitoa dhabihu za sadaka za amani, na kumtolea shukrani BWANA, Mungu wa baba zao.

2 Nya. 30

2 Nya. 30:19-24