2 Nya. 3:17 Swahili Union Version (SUV)

Akazisimamisha nguzo hizo mbele ya hekalu, moja upande wa kuume, na ya pili upande wa kushoto; akaliita jina la ile ya kuume Yakini, na jina la ile ya kushoto Boazi.

2 Nya. 3

2 Nya. 3:14-17