2 Nya. 27:4 Swahili Union Version (SUV)

Tena akajenga miji katika milima ya Yuda, na mwituni akajenga ngome na minara.

2 Nya. 27

2 Nya. 27:1-9