2 Nya. 24:27 Swahili Union Version (SUV)

Basi kwa habari ya wanawe, na ukubwa wa mizigo aliolemewa, na majengo ya nyumba ya Mungu, tazama, hayo yameandikwa katika maelezo ya kitabu cha wafalme. Na Amazia mwanawe akatawala mahali pake.

2 Nya. 24

2 Nya. 24:19-27