2 Nya. 24:23 Swahili Union Version (SUV)

Ikawa mwisho wa mwaka, wakakwea juu yake jeshi la Washami; wakafika Yuda na Yerusalemu, wakawaangamiza wakuu wa watu wote miongoni mwa watu, wakamletea mfalme wa Dameski nyara zao zote.

2 Nya. 24

2 Nya. 24:19-27