Likamjia andiko kutoka kwa Eliya nabii, kusema, BWANA, Mungu wa Daudi baba yako, asema hivi, Kwa sababu hukuziendea njia za Yehoshafati baba yako, wala njia za Asa mfalme wa Yuda;