2 Nya. 20:34 Swahili Union Version (SUV)

Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, ya kwanza na ya mwisho, angalia, yameandikwa katika tarehe ya Yehu mwana wa Hanani, iliyotiwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli.

2 Nya. 20

2 Nya. 20:27-37