2 Nya. 20:27 Swahili Union Version (SUV)

Kisha wakarudi, kila mtu wa Yuda na Yerusalemu, na Yehoshafati mbele yao, ili kuurudia Yerusalemu kwa furaha; kwa kuwa BWANA amewafurahisha juu ya adui zao.

2 Nya. 20

2 Nya. 20:23-28