2 Nya. 2:8 Swahili Union Version (SUV)

Niletee tena mierezi, na miberoshi, na miti ya msandali kutoka Lebanoni; maana najua ya kwamba watumishi wako hujua sana kuchonga miti Lebanoni; na tazama, watumishi wangu watakuwa pamoja na watumishi wako,

2 Nya. 2

2 Nya. 2:1-9