2 Nya. 18:16 Swahili Union Version (SUV)

Akasema, Naliwaona Waisraeli wote wametawanyika milimani, kama kondoo wasio na mchungaji; BWANA akasema, Hawa hawana bwana; na warudi kila mtu nyumbani kwake kwa amani.

2 Nya. 18

2 Nya. 18:15-18