2 Nya. 18:14 Swahili Union Version (SUV)

Na alipokuja kwa mfalme, mfalme akamwambia, Je! Mikaya, tuende Ramoth-gileadi vitani, au niache? Akasema, Kweeni, mkafanikiwe; nao watatiwa mikononi mwenu.

2 Nya. 18

2 Nya. 18:13-20